Back 2 Reality - Abbas Kubaff - Official Lyric Video (2015)

Concept, photos, videos, examples, construction



From the 2014 Album Ghettoholic - Back 2 Reality by Abbas Kubaff A Nine Inch Records Production Lyric Video made by Dennis Mugambi Lyrics Nilikuja mapema ndio niwape malatest Futuristic nilishuka na space ship Straight mpaka booth iko ndani ya basement Discipline yangu ni ya back to basics Nilitembea desert nikisaka oasis Kisha nikameza tembe mbili za matrix Madigaga za Neo na bunduki za Morpheus Nikafungua mind power ya cosmos Nilisafari mbali kutumia subconscious Na uwezo wa kufly mpaka naskia nauseous Nilicheki reality sababu ni obvious Ukweli hua ugly, shetani mgorgeous Ni sababu ya pesa tunatafuta precious Lakini haimanishi niwe slave wa pesos Uchungu imefanya nimezima emotions Nafocus kwenye mziki yangu, nina devotion Naimba witha passion na sio for cashing Lakini ukinicross utawekwa kwa casket Uzuri ya hiphop naeza kuwa sarcastic Vile niliwa murder kwa sababu ya practice Watajua ni real, ama ni plastic Ama ningeistretch ingekua fantastic Siku hizi emcees wana paka black magic Hawajui kuwa consequences huwanga tragic Juu talisman yako huwa intergalactic Unaweza imanipulate ukitumia tactics Ujuzi wa physics na pia mathematice Back 2 Reality x 5 Ninety percent ya hawa rappers ni nonsense Juu wanaimba fashion badala ya conscious Wote nimewa circle nimepima circumference Wanafanya ma stunts hawa ma Charlie si Bronson Wanataka attention, muone potential Mi hufanya maconcerts niko na concepts Bado na keep it tight kama sister wa convent Kuongeza mizani na uzito wa content Nilideliver flawless mbele ya doorstep Juu nina contacts kama lense ya convex Nilichora proposal nikapata masponsors Ili ndio ma corporates watoe endorsements Nina prospects za kuanzisha projects Zitazomulika watu hawana employment Na kuwasaidia kama ni entertainment Nitawasaida kama ni entertainment Mi kama pioneer basi hio ni statement Satari yangu ni music, so mimi ni movement Vijana tunahitaji community improvement Na wale hawataki basi wakule movement Hii swali ni solution, juu tuna problems Tunataka kuona economical progress Makazi ziko wapi? Watu wengi ni jobless Mi nilishika cordless, nisiwe lawless Streets ni baridi na wengine ni homeless Na kwa mayatima wote nasema Jah bless! Mapoko wana hustle wakitingisha topless Wazito wakidishi sana bado regardless Kukanyaga vidole zangu during the process Back to reality x 5 Ok, hii dunia inazaungushwa na mobsters Wamefanya massacre, vitendo atrocious Wako chini ya maji, ma Lochness monsters Ushawahi ona mtu akigeuka lobster? Eeey, ka haujawahi basi twende Atlantic Twende chini ya maji, kuja twende Atlantis Penye ma Nephelim wana colony massive Siku maji ya Noah ilimeza Jurassic Kumbuka Goliath, alikua gigantic Ukicheki miguu siza yake Jumanji Kuna sehemu huwezi ona kwa atlas Na siri ukujua utawekwa kwa blacklist Mi revoltionary kama Panther na black fist Na pray Mungu wangu ka position ya mantis Industry cabal, na muziki occultic Ma chant za uchawi utadhani romantic Walitengeza virus, ndani ya syringe alafu ati ndio dawa ya meningitis Waligeuza science ikakuwa seance kugeuza historia na kalamu za crayons Waliabudu Zeus na sanamu ya Isis Wakawa monuments tangu enzi za Ice Age Makaburi za pyramid ni za Osiris Anubis anajua kua dooby ni Irie Mi natambua Jah, Jehovah wa Jireh Pahali Abraham alikua ni Isaac Na kama hujashikanisha, basi decipher Nimekuja kuwasha moto kubwa na lighter! Back to reality x 5

Comments

  1. abbas mistari master ki shaolin
  2. on point
  3. Wafundishe Abbas coz wanaonanaga na vitabu tu kwa street zikiuzwa. Hizi ma smartphone zimewageuza ma zombie
  4. dope dope dope lyrics
  5. mad mazee,bonge la mistari bwasss
  6. OK
  7. waaah waaah..salute!!
  8. mad flow abbas....i see you went back to reality....heshima boss


Additional Information:

Visibility: 2389

Duration: 5m 8s

Rating: 44